
Jay Moe baada ya kufanya vizuri katika ngoma zake,sasa latest infoz
nyingine ambayo nimeipata hii leo ni kwamba jana alikuwa ndani ya Bongo
record akifanya ngoma yake nyingine mpya akiwa amefanya collabo na Ommy
Dimpoz na jina la hiyo inaitwa Only you.Kwa hiyo wale mashabiki wa Jay
Moe na Ommy Dimpoz kaeni tayari kwa ujio huu mpya kutoka ndani ya...
Read More

Diva Giving for Charity ni siku ya Tarehe 9/12/2012 Pale Tandale katika Kituo Cha Almadina Children Home.
Kituo Kinaongozwa na Kuendeshwa na Bi.Kuruthum Yusuph Juma ana Miaka 53
na Ni Mtu wa Mafia ila Hapo Amepanga na analipia mil3 kwa Mwaka na
Sehemu ni ndogo sana na Mazingira Ni Magumu sana,Kuna Watoto 52 ambao
ni yatima,Wanaume 24 na Wanawake 28 kuna...
Read More

Naweza kusema kwamba ni moja kati ya ma Director wakali ambao wanatokea
pande za A town city katika production yake inayofahamika kama Nisher
Entertainment, kupitia katika production yake ameweza kufahamika,sasa
latest infoz ni kwamba leo baada ya kupiga naye story amefunguka na
kusema kwamba next year anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda
kwa jina la "Yeah Yeah Yeah"Kwa hiyo kaa...
Read More

Wakazi na Ncha kali
...
Read More

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Diamond Platinum,leo kupitia katika
website yake aliweza kuandika ujumbe mfupi wa kumpongezi msanii Dully
sykes kwa kutimiza miaka kadhaa kwa siku ya leo na ujumbe huo ni huu
hapa"Kiukweli
ni mtu ambae anamchango mkubwa sana katika Safari yangu ya kimuziki
mpaka kufikia hapa...pengine pasingekuwa na uwepo wake huwenda
nisingefika hapa nilipo ni mtu anae...
Read More

Msanii wa Bongo Fleva hapaTzee almaarufu kama mwanadada Lady J
Dee,baada ya band yake kuendelea kufanya vizuri zaidi na zaidi,sasa
latest info ambayo tumepata hii leo ni kwamba yupo katika mikakati ya
kumrudisha mwimbaji wake wa zamani anayefahamika kwa jina la
Mwinyigoha.Baada ya kumaliza kutiririka aliweza kuandika ujumbe mfupi
kwa wewe shabiki wake.
...
Read More

Ni moja kati ya watu wenye umaarufu fulani hapa Tzee
kwa kupitia kazi za wasanii mbalimbali katika media au pale mtu
anapokuwa na kazi yake basi lazima ukutane na huyu mtu hata support kazi
yako kwa kupitia blog yake ,sasa latest infoz kutoka kwa choka ni
kwamba siku ya tarehe 12 mwezi wa 12 anatarajia kuachia ngoma yake mpya
kwa...
Read More

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Dully Sykes, siku ya leo anatimiza
miaka kadhaa toka azaliwe kwa hiyo kama wewe pia unazaliwa siku kama ya
leo, basi utakuwa unasherekea siku yako ya kuzaliwa na msanii huyo.Team nzima ya @Fettythebest tunawatakiwa All the best
...
Read More

Msanii wa filamu za kibongo maarufu kama Bongo Movie, Elizabeth Michael
alias Lulu baada ya kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake
inayomkabili kwa kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late Steven
Kanumba, siku ya jana ndiyo kesi yake ilikuwa inasomwa katika mahakama
ya Hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam huku suala la umri wa
mshitakiwa huyo likiendelea kuwekwa chini.Kwa mujibu...
Read More

Naweza kusema kwa namna moja au nyingine,baada ya ma producer kadhaa
walifanya muziki wa hapa bongo kwa muda mrefu sana hawa si wengine ni
Dunga,P Funk,Lamar.Akili the Brain,John Mahundi sasa siri ya ma producer
hawa wameamua kuunda kundi lao ambalo linakwenda kwa jina la No Name.Na
siku ya jana walikuwa maeneo ya Tanesco mkabala na u balozi wa marekani
wakifanya...
Read More
| me |
My Biography |
Contact Me |

Producer kutoka katika Label ya Fishcrab Audio Station maarufu kama
Lamar, siku zilizopita baada ya kutangaza katika vyombo mbalimbali vya
habari kwamba anatafuta wasichana ambao wenye uwezo wa kuimba ili aweze
kufanya nao kazi katika studio yake,hatimaye amefanikio kupata wasichana
watatu ambao ni Nuru,Salma na Menyinah.Katika mazungumzo lamar alisema
kwamba kwasasa kundi hilo limeshamaliza kutengeneza ngoma yao mpya
ila...
Read More

Msanii wa Filamu za Bongo Movie hapa nchini maarufu kama Ray, siku za
hivi karibuni baada ya kikao cha mwisho cha wasanii kilichofanyika
Leaders Club aliweza kuteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie huku
akifuatiwa na Irene Uwoya ambaye ni Makamu mwenyekiti, bila kusahau
katibu mkuu mpya ni Chiki Mchoma.
...
Read More

Mwanamuziki wa Bongo Fleva maarufu kama Ray C siku ya leo amemtembelea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam na kumshukuru kwa
msaada wa matibabu kipindi alipokuwa mgonjwa.Kwa upande wa mama mzazi wa
Ray C amemshukuru sana Rais Kikwete kwa kuokoa maisha ya mwanaye.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Ray C kushoto,Mama yake mzazi
Ray C Bibi Margareth...
Read More

Kama ulimiss jana kuhudhuria katika show ya kufunga mwaka maeneo ya
Jangwani Jijini Dar,basi huu ni wakati wako wakuona jinsi wasanii ambao
waliweza kutoa burudani ya kutosha na yenye uhakika kabisa.
Baghadad
Scorpion girl
Barnaba
Dogo Janja
PNC na
Dogo Janja
Suma
Mnazaleti
Dully Sykes
Bi Cheka...
Read More

Jana baada ya Tanzania house of talent(THT) kufikisha miaka 7 toka
ianzishwe,waliweza kutoa burudani ya kutosha kabisa maeneo ya Darlive
huku wakisindikizwa na wasanii mbalimbali.
Mwasiti na supa nyota
akitoa burudani
Team nzima ya THT ilipanda
kwenye stage
Barnaba
Barnaba
na Amini
Mataluma
...
Read More

Sikati Tamaa ni Filamu ya rapper Darasa ambaye katika filamu hiyo
ameigiza na wasanii wengi kama Godzilla,Ben Pol,Hasheem Kambi na
wengineo.Hii ni official trailer ya movie hiyo mpya.
...
Read More

Huyu ndiye atakaye wakilisha Tanzania katika mashindano ya dunia ambayo
yanatarajia kufanyika siku ya tarehe 19 mwezi wa Disemba nchini
Marekani.Mpigie kura ili aingie moja kwa moja nusu fainali kupitia
mtandao huo hapo.
http://missuniverse.com/members/profile/652697/year:2012
...
Read More

Jana katika harakati za kuadhimisha miaka 51 ya uhuru,Rais Jakaya
Kikwete alimtunuku nishani Bibi Fatma Binti Baraka a.k.a Bi Kidude kwa
mchango wake mkubwa katika uimbaji wa Taarabu hapa nchini.
...
Read More

Mashabiki
Mwana FA
Baba John akiwa na mtu ambaye amefanana na Diamond Platinum
Huyu ndiye ameibuka kuwa mshindi wa kufanana na mimi dzain tumetokelezea
Kala Jeremiah
B Dozen
Kala Jeremiah akiwa na shabiki wake ambaye atafanya naye remix ya...
Read More
No comments:
Post a Comment